The State University Of Zanzibar

Previous Next MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Ali Suleiman ametoa wito kwa vijana kutumia fursa zinazowekwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ili waweze kuzalisha mazao na kukuza ufugaji nchini.Aliyasema hayo katika ufunguzi wa maonesho ya Kilimo yanayoendelea katika Mkoa wa Kusini Pemba huko Chamanangwe aliyahimiza mabaraza ya vijana kutumiwa kwa tija...
Read More