The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar kinapenda kuutaarifu umma kuwa kimetoa orodha ya Majina ya waliochaguliwa kujiunga na masomo awamu ya pili kwa ngazi ya cheti, diploma na degree kwa mwaka wa masomo 2024/2025 kwa program mbali mbali kama zinavyojionesha hapo chini. Chuo pia kinapenda kuwataarifu waombaji wote waliochaguliwa kuwa, wahakikishe wanaingia katika akaunti zao...
Read More