Skip to main content

The State University Of Zanzibar

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), anayeshughulikia Mipango, Fedha na Utawala, Prof. Jamal Jumanne Athuman, amewahimiza wahadhiri na wataalamu wa Chuo hicho kutumia utaalamu na weledi wao katika huduma za ushauri elekezi ili kuibua fursa mpya za kitaaluma, kiuchumi na maendeleo ya jamii. Prof. Jamal ameyasema hayo Septemba 23, 2026,
Read More