Makamu Mkuu wa Wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji, ameelezea kuridhishwa na Shirika la Maendeleo la NORAD la Norway linavyoendelea kuiunga mkono SUZA katika utekelezaji wa mairadi mbali mbali ya kitaaluma. Katika mazungumzo yaliyofanyika katika ofisi za makao makuu ya SUZA Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja akiwa naRead More