The State University Of Zanzibar

Chuo Kikuu cha Bonga kilichopo nchini Adis Ababa, Ethiopia kimekiomba Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar  (SUZA) kushirikiana nao  kuikuza taaluma hususan kuieneza lugha ya Kiswahili nchini humo. Katika mazungumzo hao yaliyoushirikisha uongozi wa Chuo yaliyoongozwa na Mkurugenzi   wa Shahada  za Awali,  Dk. Khamis Haji Salum , Rais wa Chuo cha Bonga Dk. Petros  WOldegiorgis
Read More