Makamu Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji amepokea wazo la kushirikiana na Mpango wa Hiari wa Nchi za Umoja wa Afrika Kujipima kwa Vigezo vya Utawala Bora (APRM) utakaoongeza kasi ya utekelezaji wa dhana hiyo kuwaongezea ujuzi wanataaluma kwa kushirikiana na wadau wengine katika kutoa elimu. Hatua hiyo imefikiwaRead More