The State University Of Zanzibar

MAKAMU Mkuu  wa Chuo Kikuu cha Taifa cha  Zanzibar (SUZA), Prof. Moh’d Makame Haji amewakumbusha  wadau wa Chuo hiki  kuzingatia kuweka  kipengele cha kulinda maadili na kutunza nidhamu  kwenye Sera ya Michezo ya SUZA. Alisema washiriki wa michezo watambue  kuwa  wao ni wanafunzi wa SUZA  wakati wakiendelea na michezo walinde heshima zao, Chuo na nchi
Read More