SUZA yawaandaa viongozi mahiri NAIBU Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee Wanawake na Watoto Mhe. Anna Athanus Paul amesema Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kinawaandaa viongozi mahiri watakaoweza kusimamia mipango na mikakati mikuu ya nchi siku zijazo. Akitoa hutuba ya maadhimisho ya Siku ya Ustawi wa Wanafunzi yaliyoandaliwa na Serikali ya WanafunziRead More