Mwalimu Mkuu wa idara ya Kiswahili Idara ya Kiswahili kwa Wageni Bi. Shani Khalfan ameushukuru uongozi wa Chuo Kikuu cha Withwoth cha Marekani kwa kuendelea kuichagua SUZA kupokea wanafunzi wake kwa ajili ya kuwasomesha lugha ya Kiswahili. Alisema huduma hiyo wamekuwa wakiitoa kwa muda wa miaka 10 bila kusita na ana matumaini kuwa wataendelea kuwaRead More