SUZA, Emirates watiliana saini ujenzi wa dakhalia Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimetiliana saini na mkandarasi Emirates Company Ltd katika ujenzi jengo la ghorofa n e la Dakhalia ya Wanafunzi Wanawake unaofadhiliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Tukio hili linaashiria hatua muhimu katika juhudi za kuimarisha fursa za elimu na kukuza mazingira boraRead More