Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Bi Hamida Mohammed Ahmed amesema utekelezaji majukumu ya Baraza umechangia kuweka mazingira mazuri ya utoaji wa huduma za Chuo. Akizungumza katika mkutano wa pamoja na wanataaluma na wajumbe Kamati mbali mbai za SUZa uliofanyika makao makuu ya SUZA Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 28/01/202,Read More