Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimepokea mtaalamu atakayefundisha elimu ya sayansi ya michezo kwa ajili ya kuimarisha sekta hiyo katika Chuo hicho. Akizungumza na mtaalamu huyo, Yutaka Ide anatokea Hiroshima nchini Japani, mazungumzo yaliyofanyika makao makuu ya SUZA Tunguu mkoa wa Kusini Unguja, Makamo Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Moh’d Makame Haji alisema...Read More