Kwa niaba ya Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo , Maafisa wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) wamefanya mazungumzo na Kamisheni ya Kiswahili ya Afrika Mashariki katika ofisi za taasisi hiyo, zilizopo eneo la Maisara, Mjini Zanzibar, kwa lengo la kuimarisha ushirikiano wa kitaaluma. Katika kikao hicho, SUZA imekubali rasmi ombi na fursa iliyowasilishwaRead More