The State University Of Zanzibar

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar(SUZA) Dkt. Hussein Mwinyi   amefahamisha kuwa Serikali imeongeza bajeti ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kutoka Shilingi bilioni 33.3 mwaka wa fedha 2024/2025 hadi Shilingi bilioni 37.94 mwaka 2025/2026. hayo aliyasema hayo  tarehe  20 Disemba 2025 alipohutubia kwenye  Mahafali ya 21 ya Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA),
Read More