The State University Of Zanzibar

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar SUZA, Profesa Makame Mohammed Haji, amesema Chuo hicho kinaendelea kujidhatiti katika kuandaa wanafunzi watakaoweza kujiajiri na kuajiriwa kwenye taasisi mbalimbali ndani na nje ya nchi pamoja na kukuza ujuzi wa vitendo, ubunifu na maarifa ya kisasa ili kuhakikisha wahitimu wake wanakuwa na uwezo wa kushindana kwenye
Read More