Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kimeeleza dhamira yake ya dhati ya kuimarisha shughuli za utafiti kwa njia ya kitaasisi, na kuachana na mtindo wa tafiti za mtu mmoja mmoja zisizo na mwelekeo wa pamoja. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Makamu wa Taaluma, Utafiti na Ushauri Elekezi, Prof. Abdi Talib Abdalla, wakati wa uzinduziRead More