The State University Of Zanzibar

CHUO Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kupitia Skuli Elimu Endelezi na Utaalamu (SCOPE), kimewatunuku vyeti wanafunzi 30 waliofaulu masomo ya IT, kompyuta na lugha katika masomo ya muda mfupi na mrefu. Akizungumza katika hafla hiyo, iliyofanyika katika kampasi ya Vuga Mkoa wa Mjini Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Mafunzo ya Habari, Skuli ya
Read More