The State University Of Zanzibar

Katika ukingo wa dhahabu wa Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani (MAKISADU), leo tarehe 7 Julai 2025, historia imeandikwa upya. Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) na Chuo Kikuu cha Osaka vimeweka saini Hati ya Ushirikiano, tukio hili likiashiria mwanzo mpya wa mashirikiano ya kitaaluma. Ghafla hii ya kusisimua iliyojaa uzuri wa lugha, sanaa,
Read More