The State University Of Zanzibar

Naibu Makamu Mkuuwa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Dkt. Hashim Hamza Chande, amekutanana Bw. Chad Morris, ofisa wa masuala ya umma na  Karen Nasso, ofisa wa “American Spaces,”  kutoka Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. Mkutano huo uliofanyika katika ofisi za makao makuu ya Chuo Tunguu tarehe 15/04/2025  ulilenga kuimarisha ushirikiano na kati ya SUZA na Ubalozi
Read More