The State University Of Zanzibar

Kongamano la Kimataifa la Kiswahili limefanyika katika mji wa Havana, nchini Kuba, tarehe 8 na 9 Novemba, 2024. Kongamano hili limehusisha wataalamu na wadau wa Kiswahili kutoka Tanzania na nje ya Tanzania pamoja na wenyeji wa Kuba. Jopo kutoka Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) likiongozwa na Makamu Mkuu wa Chuo, Profesa Moh’d Makame
Read More